-->

TANZIA | Kifo Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva Bi Cheka afariki Dunia

MASTAA

Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva Bi Cheka afariki Dunia
Aliyekuwa msanii wa muziki nchini Cheka Hija maarufu kama Bi Cheka amefariki Dunia mchana wa leo katika Hospital ya Rufaa ya Mloganzila na kwa taarifa za awali zina sema Marehemu Bi Cheka alikuwa akisumbuliwa na Moyo na Presha.
Pia imezungumza na mmoja wa watu waliokuwa karibu naye wakati akifanya muziki Mh Temba ambaye amesema kuwa yeye alikuwa
..>>>“Taarifa na Mimi nimezipata sahivi, Mara ya mwisho nakumbuka alikuwa akisumbuliwa na Moyo na Presha toka tupo naye Kimuziki wakati tupo naye alishaanguka Kwenye stage Mara mbili na hata sisi wenyewe tulipewa ushauri na kiongozi moja mkubwa na Daktari wakisema huyu anatakiwa kupumzika tukaambiwa tusiwe tunaperform naye tumtafutie shughuli nyingine ya kuweza kumsaidia” – Mh. Temba
LihatTutupKomentar

Categories