New BEN BREAKER ATAJWA KUWANIA TUZO ZA STAR QT SOUTH AFRICA

BEST ICON na PEOPLE’S CHOICE AWARD
Mwanamitindo na Dancer(choreographer) maarufu kutoka Tanzania Ben Breaker ambae amekuwa na ushawishi mkubwa ametajwa kuwania tuzo kubwa za Star Qt za nchini Afrika Kusini katika vipengele viwili(2) kipengele cha BEST ICON na PEOPLE’S CHOICE AWARD(TUZO YA CHAGUO LA WATU)
Ben Breaker anasema amefurahi sana kuwa miongoni mwa watu watakaowania tuzo za star qt kwa mwaka 2019 kura zitaanza kupigwa kuanzia tarehe 14 mwezi Agosti mwaka 2019 kwenye tovuti ya www.starqt.com/awards  tuzo hizo zinategemewa kufanyika kwa mara ya sita tarehe 26 octoba 2019 katika ukumbi wa Edenvale Johanesburg South Africa.

Post a Comment

0 Comments