KWA MAHITAJI YA BLOG, CHANNEL APPLICATION NA KUWEKA MATANGAZO....

CHAGAMEDIA | Scholarships | Jobs | Daily Update | Entertainment

we are dedicated to provide the best updates from all over country, updates like:- EDUCATION UPDATE,SCHOLARSHIP,JOBS,ENTERTAINMENT.

14 January 2019

KWA MAHITAJI YA BLOG, CHANNEL APPLICATION NA KUWEKA MATANGAZO....

  Mgodin       14 January 2019*💱NAMNA YA KUPATA HELA MTANDAONI, KWA KUTUMIA SMARTPHONE 🤳...*

*📝LEO TUJIFUNZE KUHUSU FAIDA ZA BLOG*

👇👇👇👇👇👇👇👇
📃💸📃💸📃💸 📃💸

Blog ni mtandao kama zilivyo mitandao ya kijamii mingine,  unatumika kutuma kifungu cha habari, picha,   matangazo,  video na vitu vingine.

*⚠KUNA WANAODHANI BIASHARA ZOTE ZA MTANDAONI (ONLINE) NI WIZI "HII SI KWELI"....*

⛺🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿📒

*BLOG inafanyaje kazi:*
📌Kupitia blog unaweza ukaandika simulizi,  habari,  Video,  Masuala ya elimu kama vile notisi,  Teknolojia n. k.! Na mwisho wa siku ukaanza kulipwa.

*📌JE BLOG INALIPAJE...!⁉*

💱Hili ni swali ambali wengi wanajiuliza na nimeulizwa Mara nyingi.  Zifuatazo ni njia za kujipatia hela kwa jia ya blog.

🎯Mosi,  Unaweza kuweka matangazo ya Adsense ambapo unalipwa kutokana na viewers. Pamoja na watu wanao click matangazo yanayopatikana katika Blog.

📌Njia nyingine ni propeller,  infolink, Seebait, n. k
Hizo zote hufanya kazi kama Adsense na unalipwa kwa dola. Kupitia account kama vile account ya benk, paypal n. k

📌Faida nyingine kubwa ambayo wengi hawajui ni kuhusu kutangaza biashara za watu wengine ambpo mfanya biashara hukulipa ili utangaze biashara yake kwenye blog yako. Na hapa anakulipa keshi kwa njia ya simu au Bank. Fikiri,  hata ukitangaza bidhaa za watu 5 tu kwa @5000=25000. Hiyo inakuwa faida tele kwa tele.

📌Njia nyingine ni kuuza Ujuzi au maarifa kwa watu,  ambapo unaweza kuuza notisi zinazoeleza masuala mbalimbali, Simulizi na Vichekesho.

*🎼PIA BLOG husaidia kumtangaza msanii kitaifa na kimataifa...!

*KWANINI BLOG?*

♻Ni rahisi kutumia,  haina gharama kubwa, unaweza kufanya kazi sehemu yoyote Ilimuradi uwe na simu.

⛺kwa mtu anayejituma kwa siku unaweza kutengeneza hadi $50=Tsh 200000, kwa siku kupitia Adsense.

*📃🤳JE UTAPATAGE WATU WANAO TEMBELEA BLOG YAKO AU CHANNEL YA YOUTUBE?*
_🗞Hili ni swali ambalo Huwa naulizwa sana na Majibu yake ni Haya:_

1⃣Google search engine,  Hii ni njia Rahisi na iko Automatic,  ambapo hapa mtu hahitaji ku_share post sehemu yoyote ila huwa post inawafikia watu wengi.

🎯INAFANYAJE KAZI....

📌📝 Mtu anapo andika/tafta/ Google /YouTube  kitu  chenye maneno yanayofanana na kitu ulichopost,  hapo pia post yako huonekana

📌📃Mtu anapotafta kitu google/ YouTube  huwa analetewa (related content) post zinazo fanana.  Hivyo na post yako huwa inaonekana.

2⃣ Kwa ku-share katika mitandao ya kijamii kama vile *Whatsapp,  Twitter,  instagram,  Facebook,  printrest n. k*

🎯 Hapo post yako huweza kuwafikia watu wengi zaidi.....

_♻Hivyo suala la watembeleaji Wa post yako huwa Rahisi sana._

*💱KWA MAHITAJI YA BLOG YA KULIPWA...*
*🎯📃Kwa Mahitaji ya blog kwa Tsh 10000 tu.  Nitafte kwa.... 0755739331 au 0621140835.*

*⛺SASA KARIBU HUDUMA ZIFUATAZO.*

*🎥TENGENEZEWA CHANNEL YA YOUTUBE KWA tsh.  5000/=tu.*
_📌Unaweza kuweka video na ukatengeneza hela zaidi..._
_📌Pia unaweza kuitumia kutangaza biasha zako au za Wengine na ukapata hela zaidi._

*TENGENEZEWA APPLICATION YA BLOG NA KUIWEKA PLAY STORE KWA TSH. 30000 TU....!*

*🎯Miliki app yako playstore na uwe unalipwa na Adsense kwa gharama nafuu.*

*unaweza kuifanya application yako kuwa ya kutangaza Biashara na ukajipatia kipato...... UNASUBIRI nini* CHANGAMKIA fursa kipindi hiki cha sikukuu....

*TENGENEZEWA "BLOG" NA "APP" YAKE NA KUIWEKA PLAYS STORE KWA 45000 tu.* Na upate faida Mara Dufu...!

*🔊PIA TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU YA KUANZIA TSH. 5000/=tu...*

*🔀Biashara yako inaweza kuwafikia wateja wengi kama ukitangaza nasi....*
📌Tunaweka Tangazo lako katika Blog yetu Na Channel ya YouTube....

*⛺JIFUNZE NAMNA YA KUTENGENEZA BLOG WEWE MWENYEWE KWA TSH. 15000.*

*📌Unaweza ukawa unawatengenezea wengine na ukawa unapata faida kubwa..... Hakika inalipa.... .*

*📌Unaweza kuweka matangazo ya Adsense au ya watu Wengine na ukapata hela nyingi zaidi....*

*♻🔭JIFUNZE KUTENGENEZA CHANNEL YA YOUTUBE NA UPIGE HELA KWA Tsh 10000. Channel ya kulipwa...*

*🔭PIA KWA WASANII WACHANGA HII NI NAFAZI YENU.*

*😱‼KUANGALIA MFANO WA BLOG NA MATANGAZO YETU BOFYA LINK HAPA CHINI...*

Bofya hapa...

*📌Tangazo linakuwa katika ubora wa hali ya juu...*

*♻CHANGAMKIA FURSA HIZO MSIMU HUU WA SIKUKUU.*

*⚠USITUME HELA KWA MTU TOFAUTI...*

*Call: +255755739331*
 OR *+255621140835. EPUKA UTAPELI❗*

*⚠UNATENGENEZEWA KWANZA UNAIONA KAZI NDO UNALIPIA....*

*kwa walioko seriuz na kazi Nitext kwa kubofya hapa chini.*
↘↘
+255621140835 or +255755739331

E-mail: mapatosigumwe009@gmail.com.

Au *Inbox*

*♨NB: HUDUMA INAKUFIKIA POPOTE ULIPO....*

*SHARE*🇹🇿🙏🏻


*⛺NB: TUPO UDOM.  ILA HUDUMA INAKUFIKIA POPOTE PALE ULIPO.*


*SHARE NA WENGINE*
logoblog

Thanks for reading KWA MAHITAJI YA BLOG, CHANNEL APPLICATION NA KUWEKA MATANGAZO....

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment